Tangazo la kazi
Kuna Office inatafuta PS (Personal Secretary), awe na uzoefu wa kazi si chini ya mwaka mmoja, awe ni muongeaji mzuri wa Kiswahili na Kiingereza, awe ana taalum Uhazili na uzoefu kidogo na kazi za Admin...kama ni wewe ama kuna mtu unamjua mwambie atume...foftz@yahoo.com au samuel_sasali@yahoo.com au wasiliana na Samwel Sasali 0713 494110
BFTZ SHARING IS CARING
No comments:
Post a Comment